Zitambue dalili na za mwanamke anayetaka kuachana nawe katika mahusiano
Kuna tofauti kubwa ya kimaamuzi kati ya mwanaume na mwanamke kwenye suala la kuachana. Inaelezwa kwamba, wanaume ni rahisi kuamua ndani ya...
Kuna tofauti kubwa ya kimaamuzi kati ya mwanaume na mwanamke kwenye suala la kuachana. Inaelezwa kwamba, wanaume ni rahisi kuamua ndani ya...
Suala la uaminifu katika mapenzi kwa karne hii limekuwa kikwazo kikubwa kwa watu wengi sana, wengi wemekuwa si waaminifu wakati mwingine k...
HAPA tunazungumza kuhusu mapenzi kama kawaida yetu. Leo nimekuja na mada ambayo naamini itawagusa wengi. Marafiki zangu, kusaidia katika m...
Katika maisha haya ya kila siku hususani katika kipengele cha kimahusiano, wanaume wengi huwa wanakutatana na wanawake wa aina tofauti...
Kuna ishara nyingi ambazo ni vyema tukajifunza ili kuwa makini na kuchukua hatua pale unapoziona kwa mwanaume. Ni vigumu kukubaliana nazo ...
Je unajua kuwa swala la ndoa lina nafasi kubwa sana katika swala la wewe kuishi ndoto zako? Ukifanya uamuzi mzuri katika swala la ndoa uta...
Wataalamu wa mahusiano wanasema kuwa kuna dalili nne ambazo ukiziona kwenye mahusiano yako basi amini kuwa ninyi mnaendana na pia mapenzi ...
Siku zote ni lazima uelewe ya kwamba mwanaume kukwambia anakupenda tu hii haitoshi, bali yapo mambo ya msingi ambayo unatakiwa kuyoana kut...
Katika kuifanya ndoa iwe imara, niliwahi kuzungumzia mavazi sahihi ya mke kumvalia mumewe wakiwa chumbani. Lakini pia nikasema kwamba, kama...
Nani hajawahi kupata hasira kwa mwenza wake? hakuna mtu, Si ndio? ni katika sehemu yoyote ya mahusiano, lakini tumekuwa tukiamini kwamba ...
Katika safari yeyote ile ya mahusiano ya kimapenzi baina ya mwanamke na mwanaume yapo mambo mbalimbali yanapaswa kuzingatiwa ili kufanya m...
Binadamu ni viumbe ambao wana mizunguko mingi katika siku zao za kuishi hapa duniani. Binadamu hao hao hukutana na jamii za watu tofauti to...
KUTOKANA na mila mbalimbali, baadhi ya watu wamekuwa wakiamini kwamba mwanamke ni daraja la pili. Daraja la kwanza na lenye kuthaminiwa ni ...
Ni wiki nyingine mpenzi msomaji wa safu hii tunakutana tena jamvini hapa kwa neema na rehema za Mwenyezi Mungu. Leo tunaangalia ni kwa nam...
Migongano na tofauti kati ya watu wawili katika mahusiano ni kitu kisichoepukika iwe ni mahusiano ya mapenzi ,mahusiano ya mzazi na mtoto n...
Lipo jambo muhimu analopaswa kuzingatia kila aliye kwenye uhusiano ikiwa anataka kutosheka na penzi la mpenzi wake. Kwanza ni lazima uito...
Mapenzi ni kitendawili lakini ukiyapatia yanaweza kuwa matamu sana. Lakini mapenzi yanahitaji kazi unahitaji kujitahidi kuyajenga kila siku...
Mwalimu wetu wa hesabau alikuwa akitumbia ili upate hesabu unatakiwa kujua kanuni za kufanya hesabau hizo, na kama ilivyo katika kufanya ma...
Ndoa ni haja ya kawaida kwa kila mwanadamu. Ndoa ndio njia pekee ya kujenga familia, ndoa ndio njia halali ambayo binadamu yeyote anaruhusi...
Katika mahusiano mwanamke anakua anahitaji mambo mbalimbali lakini si yote atakua anamwambia mpenzi wake au mume wake. Kichwani mwake anaj...