VIONGOZI WA CHADEMA LEO WAMESHIRIKI IBADA KKKT
Na Haruna Mapunda Mtilah blog
Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Kiongozi wa Upinzani Bungeni na Mbunge wa Hai, Mhe Freeman Mbowe na Mjumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA na Waziri Mkuu Mstaafu,Mhe Edward Lowasssa, leo Wameshiriki ibada ya Jumapili ya Matawi kwenye Kanisa la Kiinjili la Kilutheri (KKKT) Azania Front Posta ya zamani jijini Dar es salaam.


No comments
Post a Comment