ANGALIA TSUNAMI KUBWA KUWAHI KUTOKEA DUNIANI
Tsunami ya Tohuku ilitokea March 2011 huko nchini Japan. ilisababisha vifo vya watu 15,895, huku 6,156 wakijeruhiwa, na watu 2,539 wakiwa wamepotea. Inakadiriwa kuwa tsunami hiyo ilisababisha hasara kati ya Dola za Marekani 14.5 bilioni hadi dola bilioni 34.6 ambayo ni sawa na Tsh za Kitanzania trilion 34.8 hadi trilioni 83.04 ambazo ni za kuharibika kwa mali na miundombinu.
No comments
Post a Comment