Followers

Katika Watanzania Mil54, Ay na Alikiba Hawajaona Mwanamke Tanzania:-Mrisho mpoto

Msanii wa mashairi Tanzania Mrisho Mpoto amefunguka na kutoa maoni yake kuhusu swala la wasanii kuoa nje ya nchi huku wakiwa na mahusiano na wasichana  wa kitanzania na kuwaacha,

Mrisho Mpoto alipokuwa akiongea na Cloud e alisema kuwa wasichana wa kitanzania wanatakiwa wajitathmini sana kwa sababu katika wanawake wote  tanzania inakuwa changamoto sana kwa wasanii hawa kuamua kuona nje ya nchi wakati wasichana ni wengi tanzania.

mrisho mpoto anasema kuwa wasichanwengi wa bongo wamekuwa na tabia ya kuanika maungo yao wazi na hicho ni kitu ambacho wanaume wengi wamekuwa hawapendi kitu kama hico ingawa kwao wanaona kuwa ni kama dili.

Wanawake wanatakiwa wajifunze kitu kutokana na hili, Ay na Alikiba wote wameoa nje ya nchi. je ni kweli kuwa kati ya watanzania milion 54 hawajaona mwanamke wa kuoa hapa.hii ni changamoto wasichana waache kuanika hivyo vinanii.. vyao maana watashangaa na hata waliobaki wanawakosa.


Hata Mwasiti alipoulizwa kuhususwala hilo pia alisema kuwa wasichana wengi wa kitanzania wamekuwa wakiweka maungo yao wazi sana kiasi kwamba mtu akitaka kwnda kumtambulisha nyumbani anaazna kuwaza kwanza jinsi ya kuoneka kwao

No comments

Theme images by sandoclr. Powered by Blogger.