Mabinti hawa wanaaminika kulala na Ali Kiba muda kabla ya kupata mke
-Kiba hakuwa mtoto mzuri sana alipokuwa akikua
-Mwanamuziki huyo alikuwa na uhusiano wa kimapenzi na wanawake tofauti kabla ya kupata mke
-Mwanamuziki huyo ambaye alifunga ndoa Alhamisi Aprili 19 ana watoto wanne na wanawake tofauti
-Kiba alioa mpenziwe Amina katika harusi ya kufana iliyofanyika Mombasa
Mwanamuziki maarufu kwa kibao Seduce Me Ali Kiba hatimaye alifunga pingu za maisha na mpenziwe Amina Rikesh katika harusi ya kufana sana iliyofanywa katika Msikiti wa Ummul Kulthum , Mombasa, asubuhi Alhamisi Aprili 19.
Picha za wanawake warembo waliokuwa wapenzi wa Ali Kiba kabla ya kupata mke. Picha/Momabsa County Government Watch/Facebook
Kiba alifanya harusi hiyo katika hafla iliyohudhuriwa na gavana wa Mombasa Hassan Joho na watu wengine maarufu.
Ali Kiba alipata nyumba Alhamisi Aprili 19, 2017. Picha/Gates Mgenge/Facebook
Lakini kabla ya kumuoa Amina, mwanamuziki huyo alikuwa katika uhusiano na wanawake kadhaa, Tanzania na Kenya.
Tuma neno ‘NEWS’ kwa 40227 ili kupata habari muhimu pindi zinapochipuka
TUKO.co.ke imebaini kuwa mwimbaji huyo wa Chekecha ana watoto wanne na wanawake tofauti, lakini mashabiki wake hawajui mama wa watoto hao.
Ali Kiba alifunga pingu za maisha Alhamisi Aprili 19, 2017. Picha/Kwa Hisani
Wafuatao ni mabinti waliokuwa katika uhusiano na nyota huyo:
1. Jokate Mwogelo
Picha/Kwa Hisani
Walikuwa wakipendana sana kiasi kwamba watu walifikiri wangeoana
2. Rahima
Rahima. Picha/Kwa Hisani
Sosholaiti wa Momabsa aliyedai Kiba alikuwa mtu wake na hata alikuwa na mimba yake
3. Dorethea Caroline
Dorethea. Picha/Kwa Hisani
Alidai kuwa mja mzito kwa kuwa katika mapenzi na baba huyo wa watoto wanne
4. Bridget Achieng
Bridget Achieng. Picha/Kwa Hisani
Sosholaiti na mwigizaji wa The Nairobi Diaries aliyechora jina la kiba mwilini mwake
No comments
Post a Comment