Followers

Marekani Yapongeza Mazungumzo baina ya rais wa Korea Kaskazini na Korea Kusini

Rais Moon Jae-in na rais Kim Jong-un walikutana  na kufanya mazungumzo baada ya mataifa yao kuwa na mzozo uliodumu kwa miaka kadhaa.

Msemaji wa ikulu ya White House Sarah Sanders  alitoa tamko ambalo limezungumzia na kupongeza mazungumzo baina ya marais wa Korea hizo mbili na kusema kuwa tukio hilo ni tukio la kihistoria.
Sarah ameendelea kusema kuwa  ana imani kuwa mazungumzo hayo  yatapelekea amani ya kudumu katika ukanda.

Sarah Sanders amesema kuwa rais wa Marekani Donald Trump  anatarajikukutana na rais wa Korea Kaskazini Kim Jong Un.

No comments

Theme images by sandoclr. Powered by Blogger.