Followers

Masogange Ameacha Mtoto wa Darasa la Saba ...... Bongo Movie Wachangia Milioni Mbili za Kumsomesha


Baada ya mazishi yanayo endelea na lambilambi zikiendelea kutolewa huko msibani Jijini Mbeya sehem ambayo Agnes Masogange ameenda kupumzishwa kwenye nyumba yake ya milele.

Marehem Agnes amemuacha binti yake mmoja upweke na kwa sasa atabaki kuwa yatima huku  akiwa bado anasoma. 

Marehemu Agness Masogange ameacha mtoto mmoja wa kike ambaye kwa sasa anasoma darasa la saba, na tayari Waigizaji wa filamu nchini Tanzania (Bongo Movie) wamemchangia kiasi cha shilingi milioni mbili kwa ajili ya kumsomesha, hayo ni kwa mujibu wa Zamaradi Mketema ambaye ndiye aliyethibitisha taarifa hizo  Aprili 22, 2018 wakati wa kuuaga mwili wa marehemu katika viwanja vya leaders jijini Dar es salaam. 


No comments

Theme images by sandoclr. Powered by Blogger.