Followers

Mawandaz: Mambo 13 ya kushangaza ambayo wanawake Wakenya hufanya katika mahusiano yao ya kwanza ya kimapenzi


Katika maisha ya kimapenzi, kila mmoja awe mwanaume au mwanamke hupenda kujiwasilisha vyema kwa mwenzake angalau asimponyoke, lakini baadaye huzoeana na maisha kusonga mbele.

Licha ya kwamba wote hujikakamua kujionyesha kuwa nadhifu na wenye heshima, wanawake huwa na bidii kupita kiasi kuhakikisha kuwa mwanaume wanaonekana na wapenzi wao wa kiume kama watu nadhifu na wenye kupendeza kwa kila jambo.

Mambo 16 ya kushangaza ambayo wanawake Wakenya hufanya katika mahusiano yao ya kwanza ya kimapenzi PICHA: Hisani

Wanawake hufanya baadhi ya vitu vya kushangaza ili kuweza kuwafahamu wenzao wa kiume kama vile kunyamba ili kuona jinsi waume wao ni wavumilivu.

TUKO.co.ke imekuandalia mambo kadha ambayo wanawake huyafanya mwanzomwanzo mwa mahusiano ya kimapenzi.

1. Kulala wakiwa wamejipaka vipodozi

2. Kuamka mapema kujipaka vipodozi kabla ya kukimbia kitadani kulala tena

PICHA: Hisani

3. Kuamka na kupiga meno mswaki kabla ya kurejea kitandani

4. Kulala na nguo nyepesi ili kumpendeza jamaa.

5. Kupika kila usiku ili kuonyesha jamaa kuwa ni mke mzuri.

6. Kuandika jina la jamaa kwenye simu kama 'hubby' kuonyesha kwamba amenyakuliwa.

7. Kuweka picha ya jamaa kama 'profile' ya Whatsapp.

8. Kubadilisha muonekano wa Facebook kwamba umeolewa.

9. Kuandika nyaraka ndefu za kimapenzi kwa ajali ya umpendao

10. Kununua nguo zinazofanana hasa za vitenge.

PICHA: Hisani

11. Kula vidogo vidogo kuogopa kuaibika.

12. Kumngoja alale kwanza asije akakusikia uking'orota.

13. Kunyamba.

No comments

Theme images by sandoclr. Powered by Blogger.