Followers

Mawandaz: Mwanaume Jifunze Kitu Hapa Usipitwe


TANGAZA BIASHARA,HABARI,KAZI,MATUKIO YAKO KUPITIA SUPERNIDA BLOG,TUPIGIE SIMU 0767673288 AU 0675830390

BARUA PEPE danielothmary@gmail.com Karibu

Wanaume mpunguze ukali kwa wake zenu ipo siku mtalia kama rafiki yangu huyu,  yaliyomkuta ni kibokooo,

Jamaaa alikuwa mkali sana kwa mkewe kiasi kwamba kosa dogo anafoka .

Nakutoa maneno hata some time kumpiga.                   
Jamaa juzi kaumwa sana kupelekwa hospital akaambiwa akalete mkojo ili wajue anaumwa nini.

Jamaa asubuhi na mapema kachukua mkojo wake vizuri kauweka kwenye kichupa cha hospitali alichopewa.

Akauacha juu ya kabati, ili ajiandae kuvaa na kwenda hospitali. Bahati mbaya mkewe kupanga panga vitu kichupa kikadondoka mkojo ukamwagika wote.

Kwa kuogopa kipigo faster mkewe kachukua kile kichupa akatia mkojo wake akakirudishia pale, then Akauchuna kimya.

Jamaa kupeleka hospitali majibu yakatoka kuwa ana UTI na mimba ya miezi mitatu. sasa jamaa anahisi karogwa kumbe kajiroga mwenyewe.

Hivi yuko njiani kuelekea sumbawanga😂😂😂😂😂😂na mimi nmemwambia ukizubaa utajifungulia njiani mtoto njiti😂😂😂

No comments

Theme images by sandoclr. Powered by Blogger.