Followers

Mawandaz; Ni sehem ambapo unapata habari zote za kijamii aka yanayo zunguka jamii

Na; Daniel Otmary

Leo nipo na mada inayo sema kuwa je upo tayari kubadilika

Kubadilika ni nini 
                 ni hali yakutoka hali moja kwenda hali nyingine mfano unatabia mbali kwenda tabia nzuri
Nipo na jambo mara vijimambo vimenikuta nikaitafakari ile siku nilipo amua kuanza.

Kuna mtu najua anataka ajue nini nilianza basi bwana nilianza kutaka kubadilika kutoka blue kwenda nyeupe 

Kizaazaa ndipo kilipo anzia mambo yakawa mambo ushawishi wa hapa na pale lakini nikapga moyo konde sasa ukumbuke ulikuwa ni mtu wa rangi ya blue je ukiingia kwa nyeupe si utaonekana 

Shida ikawa kujitoa ile rangi nilikumbana na mengi sana lakini kwa kuwa nilidhamilia nikafanikiwa mpaka sasa nipo vizuri na ninamjua Mungu na nipo na rangi nyeupe
Nistory fupi ya mtu mwenyewe aliye amua kubadilika

                                          Dunia Ya Leo Tujichunge
Kwanza anasa tumeiweka mstari wa mbele hivi kweri kama unauza huko sirini kweri unajitambua wewe mwanamke au tuweke expire date, Na wewe mwanaume hivi kwanini uolewe kwanin ufanye ushoga na je bado unataka kuendelea na hayo mambo ukuwe na uwe mkubwa kwa sababu hivyo wavifanya ni ubatili pia vinakuharibia CV 

Unataka kuwa staa unataka maisha mazuri vua hiyo rangi chafu mbaya batili yaani namaanisha kama wewe muhongaji acha,kaama wewe shoga acha, kama wewe malaya acha, wewe ni kama popo usku ndio wako achana na hayo mambo na jambo la kwanza anza ndio uendelee taratibu kuacha 

Unakuta wewe ni kijana umri bado unaruhu unasumbukia yacyo kuhusu ya nni achana nayo yatakukuta kwa muda mwafaka kaka/mdada ishi kistaa/kimaadili kusudi ukizeeka unazeeka salama na unakuwa hujachakaa unafurahia maisha na cyo ninge ninge za nini tulia

                        kila siku fuatilia hapahapa katika blog hii usipitwe hata siku moja 
                        leo ni kama chai kesho usiache kufuatilia by mabadiliko mema

No comments

Theme images by sandoclr. Powered by Blogger.