Followers

Mawandaz: Tafakari kwa usahihi


Na:Daniel Otmary

Ebu fikiria na uchukue hatua
1.Unawaza nini
2.Unatenda nini
3.Unatarajia nini

4.Hicho unachokifanya, waza,na kutenda unanufaika nacho!?

5.Na kama umeshajiuliza na ukajua una lenga na umekusudia kufika sehem basi amua sasa kusonga mbele

Tafakari sasa je ungekuwa unafanya mema sana na ingekuwa ukifanya mema unaongezewa miaka vipi kwako ungekuwa umeongezewa miaka mingapi Na Mungu hakika umejitathimini sasa

Tafakari : tena

*Endapo hela ya sadaka unayotoa kanisani au Msikitini  ingekua inatumika kujenga nyumba yako mbinguni, ingekuwa imefikia wapi hivi sasa? 

Nauliza tu, maana wengi tunaweza kuwa tunalala nje huko mbinguni*

Tafakari: Tena

Ukitaka kufanya jambo tazama nini umekusudia kukifanya 

   Enjoy daily


No comments

Theme images by sandoclr. Powered by Blogger.