Followers

Mawandaz; Unatabia Gani Kati Ya Hizi Na kila Tabia Inatabia /ubia na nyingine


NaDaniel Otmary


Na hizi ndizo Tabia Mbaya Na Nzuri Na Kila Tabia Ina Mambo Yake Jiulize Sasa WeWe Upo Na  Tabia Gani Kati Ya Hizi Na Ukae Ukijua Usije Taka Heshima Kwa Watu Wazima Wakati Wewe Hustahili Kupata Heshima Jchunge Na Ujitathimini Wewe Ni Nani Na Unatabia Gani Na Kwanini Na Je Unampango Wowote Wakutaka Hiyo Tabia AU Wakuiacha Hiyo Tabia

Japo Maneno Ya Mungu Yana zungumzia sana kuhusu tabia na yapo sana katika maisha yetu yanayo tuzunguka na ndio mana  jambo lolote unalo lifanya lipo katika biblia tukiongelea umalaya kulikuwako na kahaba enzi hizo, tukiongelea mtu mnyenyekevu walikuwako ,tukizungumzia wnye Haki Mungu kwa kinywa chake alimtaja Ayoub kibiblia kuwa ndiye aliye kuwa mwenye haki ukizungumzia utawala sheria nk. Vyote vilitoka kwa Mungu nipo vikaja kwa wanadam Nakushauri yangu usiwe kwenye tabia mbaya za kumchukiza Mungu Bali uwe mwenye tabia Nzuri za kumpendeza Muumba wetu wa ulimwengu

Chaguo li lako kati ya hizi tabia
Pia wewe tu ndio wajijua upo na tabia gani

Aidha juu ya hizi tabia utajijua wewe ni ajenti wa NANI Mungu AU Shetani

1.Mcheshi

2.Mpole

3.Mnyenyekevu

4.Mwenye Hasira

5.Mshauri

6.Mkalimu

7.Malaya

8.Sharobaro

9.Mwizi

10. Mpenda ngono

11.Mtumishi Wa Mungu Katika Kweri na Amina

12.Unahaki

13.Mpenda Maarifa

14.Mgovi

15. Mchonganishi[cha umbeya]

16.Mvuta bangi,unga,madawa ya kulevya

17.Mwenye Upendo

18.Mpenda Amani

19. Fisadi

20.Mwenye Wivu ucyo Na Sababu

21.Mpenda Maombi Ya kiroho [Mungu]

22.Mchawi
23.Mchoyo

24.Mwenye Hekima
25.Jeuri

26.Asiye Na Manung`uniko
27.Hujali Usawa

28.Mwenye Heshima na Busara
29.King`ang`anizi

30.Mvumilivu na Mtulivu
31.Mwenye Subira

32.Hapendi Uonevu
33.Mzarendo

34.Mawazo chanya
35.Mpenda fedha na yeye hataki kutafuta zake

36. Mtu Asiye na Shukrani
37.Unafadhira?

Mpaka hapa najua kwa tathimini ndogo umejua wewe ni nani na kwanini upo hivyo na pia umejitambua kama yakupasa ubadilike au uongeze palipo pungua
       Fuata Nyuki ule asali
                 na
        Haraka haraka haina baraka 
                                       

No comments

Theme images by sandoclr. Powered by Blogger.