Followers

Mawandazi: Kuna aina Za Usingizi

*Aina za usingizi:*
       *Hailula*
       *Qailula*
       *Ailula*

*_Hailula_: Usingizi baada ya swala ya Alfajri. Usingizi huu unakuwa pazia inayofunga na kuzuia riziki yako.*

*_Qailula_: Huu ni usingizi baada ya Dhuhur. Huu ni usingizi wa afya. Unasaidia kupumzisha akili.*

*_Ailula_ : Baada ya swala ya Asri unadhoofisha mwili na kujaza maradhi na uzembe mwilini. Kwa nyakati hizi ni bora Quran na Dhikri zifanywe kwa wingi.*
  
*Sambaza kwa waislamu wenzako wafaidike .*

No comments

Theme images by sandoclr. Powered by Blogger.