Followers

Mawandaz:Maada Mchanganyiko

Na:Daniel Otmary
WAZO LA KIAFRIKA

Hizi ndio hisia za kiafrika kama unabisha soma utanambia kweri au sikweri

Ukiona Macho yanawasha ujue utamuona mtu Uliyemiss kwa mda mrefu,  Ukiona Miguu Inawasha Ujue Utapata Kiatu Kipya,  Ukiona Mikono yako Inawasha Ujue utapata Pesa,  Sasa Ukiona Sehem zako za Zinawasha Usijidanganye ndugu yangu, Nenda tu Kaoge.maana unawaza mengi mabaya* 😂😂😂😂sema tricky.......😜😜😜

*******†**************†***********†**********†**********†*********†***
####UTAFITI#####
wa
"kisayansi" umebaini
kuwa:
MAZEZETA,
MACHIZI,
MATAHIRA,
NA
WENDA
WAZIMU
wote
hutumia
kidole
gumba
kusoma
sms
je
wewe
unatumia
kidole
gani?
USITOE
NIMEKUONA!!! BWANaaaa!!    WATUMIE WENGINE ULIPIZE KISASII.: aka Share
Na wengine
🤣😂🤣😂🤣😂🤣🤣😂🤣

*********************†******★★********************★************★**
TUCHEKE KIDOGO!!!

Jamaa alikamata mwizi jikoni kwake, sasa alipo taka kupiga kelele ya mwizi, yule mwizi akamwambia mwenye nyumba unakumbuka katika Biblia nilisema nitakuja kama mwizi Usiku? Ndo nimekuja mara ya pili nawe ubarikiwe kwa kuwa nimekukuta ukikesha kama nilivyo waambia kesheni,  " Jamaa akamuangalia mwizi kisha akatabasamu,  akamjibu akamwambia pole kwa kuwa umeangukia tena mikononi Mwa pilato kwa mara ya pili, nami  nitakusulubisha Usiku huu huu.!!!

Mwizi akazimia pale pale.
🏻🏻🏻🏻🏻🏻            
Usicheke peke yako watumie na wengine wacheke

==================*******************************==============
Ushawahi jihoji kweri??
Na kunamambo ukiyasikia utatamani ulie au ucheke
Na mengine yanaweza Fanya ushangae sana mfano
Hakuna siku mbaya kama siku unayopita nje ya kanisa halafu unamsikia mchungaji anasema, "amini nawaambieni nje kuna shetani anapita"*

Download now is available on play store
Supernida App

No comments

Theme images by sandoclr. Powered by Blogger.