Mbunge Aliye Omba Rais Magufuli Kuwa Rais Wa Maisha
Ni headline kutokea Bungeni Dodoma ambapo Mbunge wa Makambako Deo Sanga alisimama Bungeni na kulieleza Bunge kuhusu mambo makubwa yaliyofanyuwa na Rais John Pombe Magufuli ndani ya kipindi cha miaka miwili huku akiomba Magufuli awe Rais wa Maisha.
“Kwa kazi aliyofanya Rais Magufuli kwa miaka miwili ni sawa na amefanya kwa zaidi ya miaka kumi, amefanya kazi kubwa na lazima tumuombee aendelee kuishi na kwanini Magufuli asiwe Rais wa maisha kwa kazi anazofanya?” –Mbunge Deo Sanga
No comments
Post a Comment