- Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ameitaja mikoa inayoongoza kwa utoro wa wanafunzi katika shule za sekondari kuwa ni, Shinyanga, Mtwara, Geita na Tabora.
Aidha, mikoa inayoongoza kwa utoro katika shule za msingi ni, Singida, Rukwa, Geita, Tabora na Simiyu.
No comments
Post a Comment