Msanii K-Stany Aja Na Ngoma Yake Mpya Ya ``HUNITEKI``
Msanii kutoka Kigoma ambaye anafanya vizuri hapa town na kazi zake akizifanyia Tabora sasa amekuja na ujio mpya wa ngoma yake kali inayo kwenda kwa jina la Huniteki
Harakati za mziki alizianzia kigoma ambako ndiko anakotokea aidha tunaweza sema ndiko familia yake iliko [motherland]
Pia K-stany anazo nyimbo kibao ambazo zipo tayari mtaani na zinaendelea kufanya vizuri kama vile Pasu, Peleka, I dont know why na zote amefanikiwa kuziweka katika mitandao mbalimbali ya kijamii na blog zote ambazo nyimbo zinapatikana pia unaweza download

No comments
Post a Comment