Followers

``Saloon pia ni kiwanda kidogo" – Steve Nyerere



Msanii wa muziki kutoka kiwanda cha filamu, Steve Nyerere amezindua saloon mpya ya kisasa Kinondoni jijini Dar es salaam ambapo amewataka watanzania kuendelea kufungua saloon za kisasa kwa kuwa ni viwanda vidogo. 

Muigizaji huyo ameyasema hayo Jumamosi hii wakati akizinduzi wa saloon hiyo uitwayo Respect Barber Shop iliyopo Komakoma Kinondani jijini Dar es salaam.

No comments

Theme images by sandoclr. Powered by Blogger.