Followers

TAARIFA KWA WATANZANIA WOTE KUTOKA CHUO CHA AFYA NEMAHUHAI,MAFINGA


 
Mkuu wa chuo cha Afya New Mafinga Health And Allied Institute (NEMAHUHAI) anawatangazia nafasi za masomo kwa muhula mpya wa masomo utakoanza  Mwezi mei,2018 kwa kozi zifuatazo.

1.Kozi ya uuguzi na ukunga ngazi ya cheti miaka miwili
-Sifa,Muombaji awe na ufaulu wa kidato cha nne kuanzia alama "C" kwenye masomo ya Biolojia na Kemia ,na alama "D"  kwenye masomo ya kiingereza na Fizikia."D" ya hesabu pia inaweza kukuongezea sifa

2.Kozi ya Community Health mwaka mmoja
-Sifa:Mwombaji awe na  "D" nne kwenye cheti chake cha kidato cha nne ikiwemo "D" Biolojia.

Chuo hiki kimesajiliwa na NACTE kwa usajili wa kudumu  namba REG /HAS/145. Udahili unafanyika chuoni NEMAHUHAI kwa idhini ya NACTE. 

Chuo kipo Mafinga Mjini Mkoani Iringa,Ada zetu ni nafuu sana na unaweza kulipa kidogokidogo kadri unavyopata.

Udahili wa Mwezi Mei umeanza Tarehe 20/03/2018 na utaishia tarehe 17/05/2018 ambapo Tarehe 18/05/2018 wanafunzi waliochaguliwa  wataanza masomo.


Kama una sifa tajwa hapo juu na unahitaji kujiunga na chuo hiki au kuhitaji ufafanuzi wa jambo lolote lile ikiwemo gharama za masomo na jinsi ya kuomba nafasi ,tafadhali wasiliana na uongozi wa chuo kwa namba ya simu 0754470248,wakati wa kufanya mawasiliano  sema Tangazo umeliona Mtilah Blog

Karibu sana,Wahi mapema ili ombi lako lishughulikiwe kwa haraka na upate nafasi

No comments

Theme images by sandoclr. Powered by Blogger.