Followers

Tuhuma za watu kutekwa, kupotea:Bunge limtake waziri wa Mambo ya Ndani ajiuzulu na akishindwa wamuwajibishe Waziri Mkuu

Ikitokeo hoja ya Bashe ya kuunda kamati teule kuchunguza madai ya watu kutekwa, kuwawa na wengine kupotea inakwama Bungeni,nashauri wabunge wamtake waziri wa mambo ya ndani ambae ndio mwenye dhamana ya kusimama usalama wa raia na mali zao awajibike kwa kujiuzulu na akishindwa kufanya hiyo basi Bunge lipige kura ya kutokuwa na imani na waziri mkuu.

Kama Bunge litashindwa kufanya hivi, basi Bunge zima lijiuzulu turudi kwenye uchaguzi maana litakuwa limeshindwa kutimiza wajibu wake wa kuisimamia serikali katika kulinda na kutetea usalama wa wananchi wanaowawakilisha.

Wananchi tulalamika na wabunge nao walalamika, hii ni sawa?

Nini itakuwa kazi na wajibu wa Bunge?

No comments

Theme images by sandoclr. Powered by Blogger.