Followers

Unawezaje kuolewa na mwanaume ambaye hana kazi na bado anaishi kwa wazazi wake?

Sote tunajua ndoa zimekuwa ajira,ndoa ni maisha kinachonishinda kuelewa ni unaanzaje?msichana kwa umri wowote ulionao,ukiwa timamu kabisa kichwani na maungo mengine kwenda kuolewa na mwanaume(mvulana nadhani)ambaye anaishi kwao

Halikadhalika anaisha pamoja na baba na mama yake,na dada zake wenye watoto,nyumba ina choo 1,jiko1,sebule1. unaenda pale ukawe nani? na ukiangalia uwezekano hata wa kupanga chumba kimoja haupo kwani mumeo hana kazi hivyo asubuhi mnajifolenisha kuingia chooni na baba mkwe hivi huwa umefikiria nini?

No comments

Theme images by sandoclr. Powered by Blogger.