Followers

Kituo cha kisasa cha kupima Ebola chazinduliwa

TANGAZA BIASHARA,HABARI,KAZI,MATUKIO YAKO KUPITIA SUPERNIDA BLOG,KWA MAWASILIANO ZAIDI TUPIGIE SIMU 0767673288AU 0675830390

PAKUA[DOWNLOAD] SASA APPLICATION YA SUPERNIDA KUPATA HABARI ZOTE KILA SAA BONYEZA HAPA >>>>DOWNLOAD SASA BONYEZA HAPA.>>>>>


Katika kuchukua tahadhari ya ugonjwa wa Ebola leo May 27, 2018 Serikali imefungua kituo cha kisasa cha kupima na kugundua virusi vya Ebola katika uwanja wa ndege wa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere.

Akikagua kituo hicho, Naibu Waziri wa Afya Faustine Ndugulile ameagiza maafisa wa uhamiaji kuhakikisha kwamba wasafiri wote wanaotumia uwanja huo wanapimwa. Aliongeza kuwa serikali pia imefungua kwenye uwanja huo zahanati maalum ya kutibu wasafiri watakaopatikana na Ebola.

“Tunajitahidi kuhakikisha kwamba ugonjwa huo hauingii nchini,” alisema Ndugulile.  Ugonjwa wa Ebola uligunduliwa katika nchi jirani ya DRC ambapo tayari imeua watu 20.

PAKUA[DOWNLOAD] SASA APPLICATION YA SUPERNIDA KUPATA HABARI ZOTE KILA SAA BONYEZA HAPA >>>>DOWNLOAD SASA BONYEZA HAPA.>>>>>


No comments

Theme images by sandoclr. Powered by Blogger.