Followers

UTAFITI:Robo ya watu wote Duniani watakuwa’ Vibonge

Watafiti kutoka Taasisi ya Novo Nordisk Research andDevelopment ambapo wameonya kuwa kama aina ya mfumo wa maisha uliopo sasa utaendelea basi ifikapo mwaka 2045 asilimia 22 ambayo inakaribia robo ya watu wote duniani watakuwa na uzito uliopitiliza.

Aidha utafiti hiyo pia umeeleza kuwa asilimia 12 ya watu wote duniani watakuwa na maradhi ya kisukari daraja la pili ifikapo mwaka 2045.
Aidha katika ufanyaji wa  tafiti hiyo, watafiti walifanya uchambuzi wa idadi ya watu wote duniani.

No comments

Theme images by sandoclr. Powered by Blogger.