faida chache za mti wa mnazi
Wengi wenu mnaufahamu sana mnazi hadi matumizi yake
Leo nitaugusia kidogo mnazi katika tiba n.k.
Mnazi ni miongoni mwa mazao ya biashara katika mazingira yetu ya kila siku
Majani yake yana faida nyingi mno ila nitaelezea kwa ufupi tu
~Ukichukua majani mabichi ukiyatwanga na kumpakaa anaeumwa kichwa sana kitaachia kkuma na atakuwa sawa.
~Matawi yake hutolewa chelewa ambazo ni sehemu ya zao la biashara ambazo hutumika pia kwa kutengenezea mafagio hizo chelewa ni dawa yani chelewa ni dawa nzuri ya kichwa chukua chelewa iliyotumika na uiwashe moshi na uuvute puani ukuingie puani kichwa kitapona
~Tunda la mnazi yaani nazi pia hutumika kufunga mtu,kufungua mtu,kutia wehu,kufarakanisha na kuwatenganisha wapendanao
~Ukichukua perfume,unga wa karafuu na tui la nazi basi ukijipakaa husafisha na kung'arisha nyota kwa nguvu kubwa ya karafuu na nazi
Shina lake ukilochoma na kusaga mkaa wake ni dawa nzuri ya tumbo linalouma,lililojaa gesi na kuvimbiwa
Dr Hamza
0654729438
0746025804
No comments
Post a Comment