Followers

AJALI mbaya IGAWILO JIJINI MBEYA TENA JIONEE



Ajali mbaya iliyotokea katika mlima wa mwambalizi igawilo Jijini Mbeya imechukua maisha ya watu5 huku mmoja akiwa majeruhi.



Ajari hiyo ilisababishwa na roli lililobeba kontena na breki zilipo katika likapalamia magari 3 gari la company of cocacola,Pick Up ya tanesco na Noah.



Mimi na wewe tunaweza zuia ajali kama hizi tafadhari tuchukue hatua

No comments

Theme images by sandoclr. Powered by Blogger.