Je wewe maisha yamekuchagua au wewe umeyachagua namna ya kuishi
Maisha siku zote ni kuyachagua Je uchaguzi wako ni sahihi au cyo sahihi
Ili uweze kuyamudu maisha kuna vitu inakupasa uvifanye
1.Ndoto yako ulio iota ungali kijana au wewe kijana wa sasa umeikamilisha asilimia ngapi au ndio upo kwenye usemi wa subira ya vuta Heri.
Na kumbuka wakati nipo chuo mwaka wa mwisho nilisema nikimaliza hapa nitakuwa naingiza pesa ntakuwa boss kumbe nilijidanganya mwenyewe kumbe ilinipasa nifikirienamna yakufanya ili niwe bosi na namna ya kujiweka kuwa na pesa kwakutazama ndoto na kuishi na ndoto.
2.Malengo,, wengi wetu kweri ndoto tunazo malengo tunayo kinacho tufanya tushindwe ninamna ya kuenenda na malengo na ndoto yaani connection zetu haziendi sambamba
No comments
Post a Comment