Whatsapp Trick! ] Jinsi ya Kusoma Message Bila Tick Za Bluu
Install Application hii ya supernida ili Upate Habari Kwa urahisi zaidi Bonyeza Hapa
Njia ya kuZuia tick za bluu zisionekane Whatsapp ili kumzuia mtumaji wa ujumbe kujua kama umesoma au bado haujaufungua ujumbe huo.
1. Ingia Whatsapp kisha » Bonyeza hivi vidoti vitatu
2. Bonyeza settings kama inavyoonekana hapa chini
3. Bonyeza Account Kisha
4. Chagua Privacy
Baada ya kubofya Privacy, itakuja menu ambayo unatakiwa uifuate kwa chini hadi uone read reciept.
Hiyo ndiyo sehemu ya kuondoa na kuweka Vitiki Viwili vya bluu.
Ukiondoa Tiki, rafiki zako watakuwa hawaoni kama message zao zimefunguliwa hata baada ya wewe kuzisoma. ( Hawataona Tiki mbili za bluu kwao baada ya kukutumia sms)
Kurudisha mtu aone meseji imesomwa, pitia hatua zote za mwanzo kisha Bonyeza tena read reciept kuweka tiki.
Muhumu! Hutaweza pia kuona meseji unazotuma kama zimesomwa au la ikiwa umeondoa read reciept.
Search for.
KUSOMA MESEJI ZA WHATSAPP BILA MTUMAJI KUJUA
Jinsi Ya Kuzuia Mtu Kujua Kama Umesoma Ujumbe Wake Katika Whatsapp (zuia tiki za bluu)
How to read messages without the sender to know:
a) Prevent the blue tick from view. 1. Open Whatsapp. Click the three dots on the existing right hand and Click the three dots 2. Click settings (when you have existing Click on the three dot menu brought small) in this menu click settings 3. Click Account 4. Select Privacy When you select Privacy will be brought to another menu. In your list down to the end you'll see a read reciept. That is you can set and remove tick blue. Click read reciept remove tick. Then senders will be detected message has been recieved yet unread. Reclaiming one see messages read, go through all the stages of beginning and then click again read reciept checking. NB: You will not also see the messages you send such as read or if you've removed read reciept. b) Use WhatsApp Widget / read messages via pop up notifications. The sender uses you messages that appear on the screen and be able to read it. Depending on how you you set Whatsapp or your phone in pop notifications. Messages will appear and you can read them clearly when screen if off, on or on and off. When you read click Close. In the messages read unless you can show that all scored. Also Whatsapp, through the notifications bar you can answer all the messages without opening messages. Be sure not to loose all messages go in the application will reflect messages read. * Indicates Whatsapp messages read if you read through the messages application. So read messages through notifications may prove not to enter Whatsapp messages read. How to set notifications that give you a loophole to read without going through Whatsapp application: Whatsapp Open "Settings" pop up notifications that works for you. C) Before reading entire texts data / select Aeroplane (✈) mode Before reading messages make sure you shut the internet. Then enter open Whatsapp messages read. Click and hold messages which ended i_mark as read and unread. This method works for some time and number. If you open the internet without putting messages read it in a bunch of unread, read messages they score.
Install Application hii ya supernida ili Upate Habari Kwa urahisi zaidi Bonyeza Hapa
No comments
Post a Comment