Ahukumiwa kifungo cha maisha jela
Mahakama Kuu Kitengo cha Uhujumu Uchumi ‘Mahakama ya Mafisadi’ imemuhukumu kifungo cha maisha jela raia wa Ethiopia, Ana Moises Chissano baada ya kutiwa hatiani kwa kosa la kukutwa na dawa za kulevya aina ya Cocaine Kg 3.03.
Hukumu hiyo imetolewa na Jaji Lilian Mashaka ambapo amesem kwa mujibu wa kifungu cha 15(1)(b) cha sheria y kupambana na Dawa za Kulevya, kinasema anayepatikana na hatia adhabu yake ni kifungo cha maisha.
Asante kwa kuendelea kutufuatilia
Supernida inapenda kukutakia heri ya Christmas na mwaka Mpya kwa
Comment yako kwa ushauri wowote Karibu danielothmary@gmail.com/0767673288
No comments
Post a Comment