Followers

Breaking : MMILIKI WA MABASI YA SABENA AJIUA KWA KUJIPIGA RISASI


Habari tulizozipata hivi punde katika chumba cha habari cha Malunde1 blog ni kwamba Mmilikiwa Mabasi ya Sabena amejiua kwa kujipiga risasi huko Sikonge mkoani Tabora.

Tukio hilo limetokea leo asubuhi Jumatano Aprili 11,2018 na kwamba sababu za kujiua hazijajulikana.

Tutawalatea habari kamili hivi punde..

No comments

Theme images by sandoclr. Powered by Blogger.