Breaking News: Mdogo wa John Heche Auawa Kwa Kuchomwa Kisu

Mbunge wa Tarime Vijijini kupitia (CHADEMA), John Heche.
Mbunge wa Tarime Vijijini kupitia (CHADEMA), John Heche amefiwa na mdogo wake, Suguta Chacha
akidaiwa kuuawa kwa kuchomwa kisu usiku wa kuamka leo.
Mbunge John Heche amedhibitisha mdogo wake huyo kuuawa kwa kuchomwa kisu.
Wananchi wa Kata ya Sirari Jimbo la Tarime vijijini amekusanyika katika Kituo cha Polisi cha Sirari baada ya Jeshi la Polisi kutuhumiwa kuwa Saguta aliaga dunia akiwa mikononi mwao.

Wananchi wakiwa katika kituo cha polisi


No comments
Post a Comment