Followers

Mawandaz:Je unataka kupafom vizuri kwenye mahusiano fuata njia hii

TANGAZA BIASHARA,HABARI,KAZI,MATUKIO YAKO KUPITIA SUPERNIDA BLOG,TUPIGIE SIMU 07676732

Au 0675830390

Kwanza kabla ya yote Habari yako wewe mfuatiliaji wa story Kali kama hizi kila Siku

Najua wengi mtajiuliza nikipi cha msingi kukifuata pindi unapo kuwa katika mahusiano kusudi mahusiano yasikushinde Bali wewe ndio uyashinde

Fact
Fuata nyenzo hii tunajua wengi mlishawahi kuwa na wengi hapa nazungumzia mchumba zaidi ya mmoja ushadeti nae yaani ushawahi kuwa na wachumba tofautitofauti

Sasa pindi unapokuwa na msichana unaanzisha mahusiano mapya ucje thubutu kutaka kujua historia ya mahusiano yake yamwanzo  kwa sababu ukifanya hivyo waweza jikuta unaacha kumpenda

Halafu kila unapoanza mahusiano na mtu ukataka kujua historia ya wanaume aliowahi kuwa nao, yatakushinda. Unachopaswa kuangalia kuanzia hapo mlipokutana na namna ya kwenda  nae kama mpenzi wako mpya ,Japo misemo haiishi kwamba dekio jipya kwako kwa mwingine lilikuwa la zamani.

Cha kufanya futilia mbali mawazo ya namna hiyo ujue kuwa nipo nae huyu na nampenda na nastahili kuwa nae Siku zote na yakale yamepita tugange ya jao

Ukitengeneza saikolojia ya namna hii hutojali Mani anasema nini Bali utasema waache waseme watasema mchana usiku watalala
      By Daniel

No comments

Theme images by sandoclr. Powered by Blogger.