Followers

Gigy Money Ajifungua Mtoto wa Kike


Gigy Money Ajifungua  Mtoto wa Kike
Mwanadada wa bongo fleva na video Qeen Gigy money amejifungua mtoto wa kike usiku wa kuamkia leo ambaye amezaa na mpenzi wake wa muda mrefu Moj ambaye ni mtangazaji wa choise fm.

Moj na Gigy Money kabla ya kupata mtoto huyo walikuwa wakitaniana kwa kuitana mama Candy na baba Candy ambapo wamefunguka na kudai kuwa mtoto wao hawatampa jina hilo bali wataangalia jina lingine la kumwita.

No comments

Theme images by sandoclr. Powered by Blogger.