Mchaka mchaka wa mheshimiwa Paul Makonda ukiwa unaendelea Jijini Dar juu ya kuendelea kukutana na wanawake ambao ambao wanahitaji msaada wa kisheria ambao walitelekezwa na kuachiwa watoto na waume zao sasa jambo jipya limezuka na kuzua mjadala mpya.
Ni Habari ambayo imezagaa mtaani ikihusisha tamko LA kuwahitaji hao viongozi ofisin kwake ila urasimi wa Habari hii bdo hauja julikana zaidi Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam Mhe.Paul Makonda ametaja orodha ya watu kumi ambao ameagiza wafike ofisini kwake siku ya ijumaa tarehe 13 April kuanzia saa 2 asubuhi.
Katika taarifa aliyoitoa leo mchana Makonda hajaeleza sababu ya kuwaita watu hao lakini inadhaniwa ni suala la madai ya kutelekeza watoto.
Na kama tunavyo jua kua suala hili sasa limekuwa zito na linazungumzika sana mtaani japo wengine wanadai ana wazalilisha wanawake huku wengine wakimshukiru kwa hilo na kusema amekuwa ni mkombozi kwa akina mama.
Na hii ndio listi ya majina aliyo ya taja na kusemekana kuwa kila mmoja amemwanndikia barua ya kuripoti siku ya tarehe 13 April Ofisini kwake ambayo ni Ijumaa.
No comments
Post a Comment