Manii [Mbegu Za Kiume] huathiri kama vimelea vya kichaa cha mbwa
Mungu ameumba jinsia mbili tofauti, ya kike na ya kiume. Hizi jinsia mbili hazifanani maumbile yake ya siri yaani vile via vya uzazi. Katika hilo kuna mtoaji na kuna mpokeaji. Huwezi kubadili huo mfumo hasa cha mtoaji umpelekee mtoaji mwingine. Ni kinyume na maumbile hivyo lazima adhurike! Manii zinapopokewa panapohusika hurutubishwa na kufanya kazi husika, kinyume na hapo ni majanga.
Kuna ugonjwa unaitwa kichaa cha mbwa. Mbwa mwenye huu ugonjwa hubwekabweka sana na kutoa mate kama udenda. Huu ugonjwa kitaalam unaitwa rabbies nadhani. Ikitokea umbwa mwenye huu ugonjwa kakuuma na ukashindwa kupata tiba muda si mrefu utaanza kutoa mate na kuanza kubweka kama mbwa.
Kuna vijana wa kiume wamezaliwa mubashara kabisa wakiwa wanaume kamili lakini makuzi na sababu anuwai vikawafanya kuangukia kwenye ushoga. Wanapoanza huu mchezo huwa bado na tabia zote za kiumeni lakini taratibu mdogo mdogo dozi ya manii inapowaingia huanza kubadilika tabia mpaka hulka na mienendo.
Watabadika sauti...
Watabadili mwendo...
Watakuwa na mapozi ya kike...
Mwishoni huishia kuvaa kike kabisa na kujipamba kike. Ikifika stage hiyo jua huyo keshapotea kwakuwa hata chooni ataingia cha kike!!! Hii yote ni kwasababu manii zikimwingia hazifanyi kazi tarajiwa hivyo automatically wenyewe hufanya transformation ili maumbile husika yaendane na vigezo vyake.
No comments
Post a Comment