Followers

Mawandaz: Mwanamke Ni zawadi ya pekee kwa ajitambuaye peke yke

Na:Daniel Otmary

Mwanamke ni nani?
       Ni mlezi,msaidizi wa Familia na pia ni kioo cha jamii

Mwanamke kwanza ni mnyenyekevu,mpole, anaheshima, mpenda amani, mtulivu, na pia Hujali.

Cha ajabu zaidi Mungu kampa mwanamke Ujasili na Ustahimilifu/ Mvumilivu

Na kumpa nafasi kubwa ulimwenguni yaani kumpa cheo cha Mama a.k.a Jeshi kubwa ( kibiblia).

Istoshe zaidi out na adhabu ya kuzaa kwa uchungu Mungu Alimruhusu mwanamke Amzae mwanae Yesu kristo(Emanuel yaani Mungu Pamoja Nasi)

Sifa zote anazo mwanamke anakila sababu ya kumshukuru Mungu

Lakini sasa je mwanamke anafanya yampasayo jiulize wewe umejipambanuaje na je umetunza uthamani wa kumzaa mwana Wa adamu
Au imeshakuwa ni kama historia mnasema" wacha tu yapite

Unamkuta mwanamke anauruhusu mwili wake kushikwa, kuchezewa, kufanyiwa kila mizahaa yaani anatoa mwili wake kwa ajili ya mapenzi kitandani kwa ajili ya mtu asiye na faida maishani *eti nalisikia wengine wakisema kuwa Asante ya thamani kwa mwanamke Ni kumpa mwili mwanaume autumie eti ndio asante inayo thaminika kwa mwanaume! Nani aliye kwambia kuwa ndio asante iliyo njema machoni pa mwanaume nasemaje kuwa Mwanamke umefeli wewe ufanyayo haya yote*

Lakini mwanamke anaye jijua na kujitambua huwezi ona anafanyya mambo ya ajabu kama haya sasa leo nakwambiaje!!!!! Mwanamke mke akaaye na kukuombea ewe mwana ume ndie mke mwema na ndie anaye stahili madhabahuni pa bwana na wewe mwanaume mpende sana huyo ucje mwacha

            Wema usizidi uwezo
                   Na
Kila mwenye nia kwa kuwa penyenia pana njia basi lazima utumie akili na mwili wako usiufanye danguro

                       Nakabidhi

No comments

Theme images by sandoclr. Powered by Blogger.