Followers

MBEBA VYUMA AMUONDOA 50 CENT KWENYE MAISHA YA UBACHELA


Rapa mkongwe wa muziki wa Hip Hop kutoka nchini Marekani, Curtis Jackson maarufu kama 50 Cent ameingia kwenye penzi jipya na mbeba vyuma anaeitwa Chanel.

Mrembo huyo amefanikiwa kumuondoa 50 Cent katika maisha ya kibachela ambapo kwa mara ya kwanza walinaswa wakiwa kwenye mahaba mazito katika pambano la ndondi lililofanyika hivi karibuni kati ya Adrian Broner na Jessie Vargas.

Awali 50 Cent mwenye watoto wawili alikuwa katika uhusiano wa muda mrefu na muigizaji Vivica Fox.

No comments

Theme images by sandoclr. Powered by Blogger.