Followers

Ndoto aliyoota Lema juu ya ‘Maaskofu kupimwa DNA


Leo April 10, 2018 stori ninayokusogezea ni kutoka kwa Mbunge wa Arusha MjiniGodbless Lema ambapo kupitia ukurasa wake wa Twitter ameelezea kile ambacho anasema amekiota kuhusu Maaskofu kushutumiwa na Wanawake kuwa wamezaa nao.

Nanukuu alichoandika Lema “Nikaota ndoto nikawaona Maaskofu wakishutumiwa na mwanamke yule kuwa wamezaa pamoja. Ndipo sauti ikatoka nyikani ikisema apimwe DNA, apimwe DNA! Yule mpimaji aliijua sauti hii kuwa ni kwa ajili ya makusudi yale ya uovu, ndipo watu wa Mungu wakasema, si huyu mpimaji ameletwa juzi ?”


Nikaota ndoto nikawaona Maaskofu wakishutumiwa na mwanamke yule kuwa wamezaa pamoja.Ndipo sauti ikatoka nyikani ikisema apimwe DNA, apimwe DNA!Yule mpimaji aliijua sauti hii kuwa ni kwa ajili ya makusudi yale ya uovu,ndipo watu wa Mungu wakasema,si huyu mpimaji ameletwa juzi ?

No comments

Theme images by sandoclr. Powered by Blogger.