Followers

News Alert: - Zanzibar na Maandamano ya Mange Kimambi


Ndugu zangu Wazanzibari,Katu tusije kuandamana tarehe 26-04-2018.Hata kama Mangi Kimambi ana hoja za msingi kiukweli kwetu sisi hazifanyi kazi.Hata hivyo Zanzibar tumeanza harakati za kudai demokrasia ya kweli tangia 1995 ila Watanganyika hawakuwahi kutuunga mkono hata mara moja .
1.Tusisahau 2001 tulivyo uwawa na vikosi vya Omar Mahita(Mtanganyika) na hawakutuunga mkono.
2.Munakumbuka Melody ?Waliongizwa na Askari kutoka Tanganyika .
3.Munakumbuka harakati za Uamsho? Sasa hivi wanasulubiwa Tanganyika.
4.Munakumbuka Janjaweed? waliongozwa na Majeshi wastaafu kutoka Tanganyika.
5.Je munakumbuka Uchaguzi wa 2015 ?Yasemekana Watanganyika hao wastaafu waliingia hapa usiku wa tarehe 27-10-2015 Na kumaliza tu vikao Jecha akazua balaa.
Na kama kuna muda tulihatiji support kutoka kwa watanganyika kama kina Mange Kimambi basi ni muda huo.Ila masikini hawakuwahi kutusupport hata mara moja.

Mwisho.
Nawaasa Wazanzibari wenzangu tusijekuandamana .Hakuna muda tulohitaji kuandamana kuliko kama pale Jecha alipofuta uchaguzi we had all reasons .Stay away from Mange Kimambi.

Siku zote Watanganyika walisimama upande hasi nasi kwenye harakati .Wakidai hawa wakijikomboa watavunja muungano na sisi tutakosa hizi ajira zao .Na tutafanya kazi kwa permit vitu ambavyo havina nukweli.

No comments

Theme images by sandoclr. Powered by Blogger.