Followers

Ifahamu Barabara ya Kwanza Duniani yenye Uwezo wa Kuchaji Magari

Barabara ya kwanza iliyowekwa mifumo ya nishati ya jua “solar-panel” imezinduliwa nchini China. Njia kuu ya kilomita mbili inaweza kugeuza mwanga wa jua kuwa umeme na kuuhamishia moja kwa moja kwenye gridi ya umeme. Inaweza pia kutumika kuchaji magari ya umeme yanapopita kwenye barabara hiyo.

Barabara hiyo ipo katika jiji la Shandong, nchini China na ina uwezo wa kuzalisha kwh milioni 1 ya nguvu kwa mwaka!

No comments

Theme images by sandoclr. Powered by Blogger.