Followers

Ukikamatwa umetupa uchafu Dodoma Adhabu inakuhusu



Ikiwa ni siku kadhaa zimepita tangu Rais John Magufuli kutangaza kuipa hadhi Dodoma kuwa jiji, Mkurugenzi wa jiji hilo Godwin Kunambi ameanzisha mpango wa kuwapatia bima za afya bure wafagiaji wa maeneo yanayozunguka jiji hilo ili kuweza kuwasaidia .


Kubwa nyingine yakufahamu kutoka kwake pamoja na Mkuu wa mkoa huo Dr Bilinith Mahenge ni adhabu waliyoitangaza kwa watu wote watakaokutwa wanatupa uchafu katika maeneo yanayozunguka jiji hilo.


DOWNLOAD APPLICATION YA SUPERNIDA KATIKA SIMU YAKO ILI UWE UNAPATA HABARI KWA ULAHISI ZAIDI 
DOWNLOAD HAPA

No comments

Theme images by sandoclr. Powered by Blogger.