Vitu 3 usifanye kwenye social network
1. Usiombe ushauri wa aina yoyote kwenye social network unaohusiana na maisha yako halisi binafsi, matatizo kamwe hayatatuliwi kwenye social network zaidi utaaibika na kuweka mambo yako nje.
2. Usiichukulie mitandao ya kijamii so serious utapotea, kuna vitu vingi vizuri na vibaya, chagua vizuri natumia fursa. usiruhusu mitandao ikutumie ila itumie.
3. Usimwamini mtu kirahisi mitandaoni, kuna matapeli, wezi, vibaka, wajinga wasioenda shule usisumbuke kubishana nao
No comments
Post a Comment