Wanawake Mnajizalilisha Acheni bana
Mama ni Mungu wa pili na nguzo muhimu duniani, ndio maana kuna msemo usemao "hakuna kama mama". Wengi wetu tumelelewa na mama na kupewa mahitaji yote na mama zetu mpaka kufika hapa.
Badala ya kwenda kudhalilishwa huko na wanasiasa wanaotafuta umaarufu, tumieni muda kufanya kazi na kupata chochote cha kumhudumia mwanao.
Waacheni hao wanaume wajinga waliokimbia majukumu ipo siku watawakumbuka kama yule baba wa msanii.
USIACHEKUDOWNLOAD APPLICATION YA SUPERNIDA INAPATIKANA PLAY STORE KWA KUPITIA LINK https://play.google.com/store/apps/details?id=com.supernida.blog
No comments
Post a Comment