Matiti ni kiungo muhimu katika mwili wa mwanamke. Kama vilivyo viungo vingine matiti huathiriwa na magonjwa mbalimbali. Mojawapo ya magonjwa hayo ni saratani(kansa).
Zifuatazo zinaweza kuwa dalili zinazo ashiria saratani ya matiti.
Uvimbe ambao hauna maumivu kwenye titi moja au matiti yote.
Ngozi ya matitu kuwa na rangi nyekundu au kidonda.
Chuchu kukunjamana.
Chuchu kuingia ndani.
Kutoka damu au majimaji yenye damu au rangi isiyokuwa ya kawaida kwenye titi
No comments
Post a Comment