Followers

KWA WANAUME HUU NDIO UKWELI. (nguvu za kiume)

...Tunaangamia kwa kukosa maarifa.. soma hapa👇

Iko hivi kadiri siku zinavyo zidi kwenda unaweza kuona mabadiliko hasa kukosa hamu ya tendo la ndoa, kuwahi fika kileleni ndani ya dakika chache tu tayari, sometimes uume unasimama kwa ulegevu,uchovu, mara nyingine huwez tu kurudia tendo....naongea na ambao mshakutana na CHANGAMOTO hii hasa ambao umri umesogea  mnaelewa na kama bado utajakutana nayo tu kwasababu mfumo wa maisha kwa walio wengi 98% unafanana ...namaanisha vyakula ni vilevile tunavyo kula mara kwa mara, hakuna mazoezi, no time to rest always busy na maisha....

Nguvu za kiume ni wewe mwenyewe zinaanza na tabia zako kila siku. Vyakula na vinywaji unavyo tumia,dawa mbalimbali unazotumia na hivi kila mtanzania ni doctor bhaaaasi unajimezea tu madawa kila kukicha hujui yanaenda kukufanya nn mwilini... Upande wa vyakula unakuta wanaume wanajisifia kula dona,sijui mboga za majani yani mbwembwe nyingi kweli mbona tangu umekula bado hali haija badilika??? FIKIRIA HILO. Unakula tu do you know your blood group? Jifunze namna ya kuongeza thamani ya vyakula vyako sikuhizi tunakula kulingana na aina ya kundi lako la damu ulilokuwa nalo, kama ni A, B, AB au O... Hujui??

Hivi unajua kama sukari,pressure, ukosefu wa choo kubwa kwa wakati,uzito mkubwa/kitambi nayo kuchochea tatizo la upungufu wa nguvu za kiume? Unajua??? So kabla hujakimbilia kuongeza nguvu za kiume jifunze afya kwa ujumla namna ya kujiepusha na magonjwa ya kitabia yatokanayo na mtindo wa maisha...hii itakuchukua muda lakini utapata faida ya miaka mingi...ujue tunaangamia kwa kukosa maarifa hata bible imesema...tatizo shortcut zinatumaliza unataka tu faster nguvu zirudi kweli?? Kwani hizo nguvu ziliisha faster? Zilitumia process bila wewe kujua...be carefully everything require process

Fata utaratibu anza kujifunza nguvu za kiume ni nini, what cause nguvu za kiume, kwanini zinapungua and what's a solution..... Nina uhakika tunaangamia kwa kukosa maarifa jifunze kwanza sio tu kila mtu kapost nguvu za kiume dawa unakimbilia huko ipo siku utapewa dawa za ajabu utaja kuta milele uume hausimami na hamu haipo tena wala sidanganyi na sikutishi ila ukweli ni huo be carefully....

Hivi unaijua Testosterone? Unaijua kaka???? Ndio homoni inayohusika na uanaume wako kuanzia sauti,nywele zinazoota kila sehemu husika,misuli imara,nguvu za mwili/stamina, hamu ya tendo la ndoa,production ya mbegu za kiume, maumbile ya kiume inaanza kua active ulipo balehe sasa unajua inatunzwa na nn hiyo homoni?? kama huelewi kubali tu kujishusha uelimishwe ni vitu simple sana kwa walio thamiria kupata maarifa otherwise utaishia kunywa dragon, erecto,Viagra makopo yote ya energy drink yameacha sumu mwilini mwako... unafahamu madhara ya kunywa energy drinks zenye kemikali hasa za viwandani? Be carefully... Utaishia kuboost mpaka kiama na baada ya mwezi tatizo limerudi...nikushauri tu kabla hujaomba dawa omba maarifa uliza maswali halafu uone kama huyo anaekuuzia ana maarifa au bla bla za kibongo....ndo kwanza anakublock akishakuuzia dawa halafu una mwambia hazijakusaidia....

Kama usipojali nikushauri anza mwanzo....jifunze tu elimu haina mwisho maana haya ndio maisha yetu.

Mbali na nguvu za kiume unajua nini kuhusu afya? Ndio msingi utakao kusaidia kupata solution ya tatizo la upungufu wa nguvu za kiume.....

Napenda watu wanao tafuta maarifa,coz hawafi hiv unajua kama usicho kijua kinaweza kukuua?

Kama una sumbuliwa na hyo changamoto karibu ujifunze zaidi

WhatsApp/CALL/ SmS #0767421678 au 0655148030

PAKUA[DOWNLOAD] SASA APPLICATION YA SUPERNIDA KUPATA HABARI ZOTE KILA SAA BONYEZA HAPA >>>>DOWNLOAD SASA BONYEZA HAPA.>>>>>

No comments

Theme images by sandoclr. Powered by Blogger.