Mambo ya Kuzingatia ili Kujikinga na Magonjwa ya Moyo
TANGAZA BIASHARA,HABARI,KAZI,MATUKIO YAKO KUPITIA SUPERNIDA BLOG,KWA MAWASILIANO ZAIDI TUPIGIE SIMU 0767673288AU 0675830390
Unatakiwa kuzingatia yafuatayo ili Kujikinga au kuepukana na ugonjwa wa moyo
1. Pima shinikizo la damu angalau mara moja kwa mwaka.
2. Hakikisha unakuwa na uzito sahihi
3. Fanya Mazoezi.
4. Punguza matumizi ya Chumvi kwenye Chakula.
5. Kula zaidi Matunda, Mboga za Majani na Vyakula ambavyo havina Mafuta.
6. Punguza matumizi ya Pombe.
7. Iwapo umegundulika kuwa na tatizo la shinikizo la damu,tumia dawa kama ulivyoelekezwa.
PAKUA[DOWNLOAD] SASA APPLICATION YA SUPERNIDA KUPATA HABARI ZOTE KILA SAA BONYEZA HAPA >>>>DOWNLOAD SASA BONYEZA HAPA.>>>>>
No comments
Post a Comment