Followers

Mwigizaji Lulu Sasa Kutumikia KIfungo Cha Nje ``MAHAKAMA``




Mwigiza Elizabert Michael ambaye kwa jina Maarufu Anajulikana kama `LULU`  amepewa msamaha na mahakama tujikumbushe kwanza.
 
Lulu alifungwa kwa kesi ya kudaiwa kuhusika katika kifo cha marehem Steven Kanumba `The Great inadaiwa Lulu alimpush Kanumba wakiwa chumbani na kupelekea kuangukia kichwa na damu kuvujia kichwani na mauti kumfika.


Muigizaji Elizabeth Michael, maarufu Lulu, amebadilishiwa adhabu na sasa anatumikia kifungo cha nje kwa amri ya Mahakama Kuu Tanzania. Magereza yathibitisha.

No comments

Theme images by sandoclr. Powered by Blogger.