Followers

Dawa rahisi ya kutibu Tezi Dume


Siri za kushangaza zimevumbuliwa zikionyesha moja ya dawa ya asili yenye nguvu zaidi katika kutibu saratani ya tezi dume.
Ukweli ni kuwa baking soda ndiyo dawa rahisi na ya uhakika zaidi ya kutibu saratani ya tezi dume ambayo unapaswa kuwa unaitumia …

Tumaini kubwa linajitokeza kwa watu wenye ugonjwa huu …
Jambo la kushangaza kuhusu dawa hii siyo tu uwezo wake wa kutibu saratani bali pia ni kuwa dawa hii inaanza kufanya kazi mara moja ukishaitumia tu na hata maandalizi yake ni rahisi na unaweza kuanza kuitumia dakika hii unapomaliza kusoma makala hii na gharama yake ni ndogo sana.
Inatumika kama ifuatavyo ….
Changanya tu kijiko kidogo kimoja cha chai cha baking soda ambayo haina aluminiamu na vijiko vikubwa viwili vya asali mbichi ndani ya maji ya kunywa glasi moja mapema asubuhi ukiamka tu na usiku unapoenda kulala. Fanya zoezi hili mara 2 kwa siku kwa wiki ya kwanza na uongeze mpaka mara 3 kwa siku wiki ya pili kwa wiki 3 mpaka mwezi mmoja hivi.
Kingine cha kuongeza hapo ni kuwa ni mhimu ukishakunywa dawa hii utulie mahali ulipo kwa dakika 40 hivi bila kujishughulisha na chochote wala mazoezi ya viungo. Inashauriwa pia kuacha kutumia sukari wakati ukiendelea na dozi hii. Tumia tu asali.
Nini siri hasa katika Baking Soda …
Saratani nyingi ni matokeo ya mwili kuwa na asidi nyingi kwa kipindi kirefu. Kumbe baking soda inaenda kuweka sawa usawa wa asidi na alkalini mwilini na hivyo usawa wako wa PH unakuwa unabaki sawa hali ambayo ni nzuri kubaki na afya bora wakati wote.
Seli za saratani zinaweza kuishi mazingira yenye asidi tu tofauti na hapo hazina namna zaidi ya kufa. Hii ndiyo siri ndogo iliyomo kwenye baking soda kutibu saratani ya tezi dume.
Baking soda inapatikana kirahisi kwenye maduka ya mahitaji ya kawaida hata Mangi hapo nje anayo ni ile kina mama huitumia kwenye mapishi ya maandazi na mikate lakini pia ni dawa nzuri ya asili inayoweza kutibu magonjwa mengi ikiwemo tezi dume.
Angalia ni BAKING SODA AU BICARBONATE OF SODA na siyo BAKING POWDER ni vitu viwili tofauti hapo. Baking soda kwa kawaida huwa kwenye kiboksi kidogo wakati baking powder huwa kwenye boksi kubwa zaidi.

Kwa mawasiliano au ukiitaji dawa hii au dawa  zaidi nipigie simu 

Dr Hamza
0654729438
0746025804

No comments

Theme images by sandoclr. Powered by Blogger.