JITIBU PRESHA YA KUPANDA NA KISUKARI KWA KUTUMIA TIBA HII YA ASILI : Tiba inasaidia pia kuyeyusha mafuta yasiyo hitajika mwilini.
Kinywaji hiki cha ajabu kitakusaidia kushusha presha, kuyeyusha mafuta yasiyo hitajika mwilini, kupambana na kisukari na kuimarisha mfumo wa mmen’genyo wa chakula katika mwili wako.
Mahitaji
Kijiko 1 kidogo cha mdalasini
Vijiko viwili vikubwa vya apple cider vinegar
Kijiko kimoja kikubwa cha asali mbichi.
Vijiko viwili vikubwa vya juisi ya limao.
Glasi moja ya maji
MATAYARISHO :
Weka vitu vyote hivyo kwenye blender na usage kwa pamoja kasha uhifadhi kwenye chombo kisafi na salama.
MATUMIZI
Kunywa dawa yako kila siku asubuhi kabla haujatia kitu chochote tumboni.
TENGENEZA MCHANGANYIKO WAKO KILA SIKU KWA SABABU NI RAHISI KUTENGENEZA.
Matokeo ya kutumia mchanganyiko huu yatakuwa ya kushangaza na kustaajabisha.
Dr Hamza
0654729438
0746025804
No comments
Post a Comment