Followers

UMUHIMU WA MAFUTA YA  SAMAKI -OMEGA 3&9(ARCTIC)

TANGAZA BIASHARA,HABARI,KAZI,MATUKIO YAKO KUPITIA SUPERNIDA BLOG,KWA MAWASILIANO ZAIDI TUPIGIE SIMU 0767673288AU 0675830390

Utafiti ulifanywa kwanini wajapani hawaugui magonjwa ya KANSA, KISUKARI na MAGONJWA YA MOYO, ikaonekana kwamba wajapani wanatumia saana vyakula vya baharini ukilinganisha na watu wa magharibi wanaotumia mafuta ya wanyama.
Leo tunakutuletea bidhaa bora ambayo imeandaliwa kwa matumizi ya watu wa rika zote, watoto - wazee.
Bidhaa imetokana na mafuta ya samaki aina ya Salmon anayepatikana kwenye kina kirefu cha bahari ya Arctic anayetoa Omega 3 na mafuta ya mizaituni inayotoa omega 9. Kila kidonge kimoja kina vijiko 30 vya mafuta ya samaki.
FAIDA YA KUTUMIA BIDHAA HII
- Husaidia kuondoa cholestol (Mafuta mabaya yanaganda mwili) hivyo huzibua vimirija vidogo kabisa (blood capillaries) na kufanya damu (oxygenated blood) kutembea vizuri mwilini.

- Hupunguza hatari ya kupata MAGONJWA YA MOYO.
- Husaidia kwa wenye matatizo ya STROKE (KUPOOZA).
- Husaidia sana wenye matatizo ya PRESSURE (PRESHA YA KUPANDA NA KUSHUKA).
- Husaidia ukuaji wa ubungo pamoja na mfumo wa fahamu hasa kwa watoto wadogo
- Huongeza kumbukumbu hasa kwa watoto walioko shuleni hivyo kupunguza gharama za tuition.
- Husaidia kwa wenye tatizo la hormone imbalance.
- Huzuia Arthritis. (Matatizo ya joints)
- Huimarisha kinga ya mwili.
- Huzuia kukua kwa vimbe ndani na nje ya mwili.
- Husaidia kupambana na KANSA YA MATITI.
- Kinga dhidi ya prostate cancer (tezi dume).
- Huondoa tatizo la misuli kukosa nguvu.
- Husaidia macho kuumbika vizuri.
- Huondoa tatizo la kutekenyeka kwa viganja vya miguu.
- Husaidia mama mjamzito kujifungua mtoto mwenye afya nzuri.
Kinga ni bora kuliko tiba.
Kwa ushauri zaidi tuwasiliane #SmS #Calls #Whatsapp
0687744030
...................................

Call/ text/ whatsapp

PAKUA[DOWNLOAD] SASA APPLICATION YA SUPERNIDA KUPATA HABARI ZOTE KILA SAA BONYEZA HAPA >>>>DOWNLOAD SASA BONYEZA HAPA.>>>>>

No comments

Theme images by sandoclr. Powered by Blogger.