Mwalimu mkuu 3
Sehemu ya 3
mtunzi Dorotea Mhokole
********Ilipoishia***++*+++
"MAMA CHAUSIKI SHOGA ANGUU KWANN UMEKUFA BILA KUTUAGAA"alitamka fatma uku akilia
Chausiku alivyosikia mama akee amekufa alidondoka na kuzimia.
***********Endelea*******
Watu walistuka kumuona chausiku kadondoka walimkimbilia na kumfikia walimgusa walisikia mapigo ya moyo yaki sikika kwa mbarii "mungu wangu chausiku jamanii nn kimekupataa???!!!"aliuliza fatma kwa mshangao
"JAMANI TUM BEBENI TUKAMPE FIRT AID KIT (huduma ya kwanza)"alitamka mzee wa kijiji.
Kisha chausiku alibebwa na kuingizwa ndani tayari kwa kupatiwa huduma ya kwanza waombelezo ambao majirani wa kina chausiku walijitahidi kumpa chausiku huduma ya kwanza, chausiku alipatiwa huduma ya kwanza kisha aliachwa apumzike na apate hewa saafi uku watu wengine walikaa nae kwa ilikumpa hurizii
Waombolezo waliendelea kuomboleza uku chausiku bado ajapata fahahamuu.
Chausiku alizinduka aliangaza macho uku na uku alikumbuka mama akee amekufa "mama mamaaaa umeniacha na nani mimi ooooooh mama, mama,"alilia chausiku kwa uchungu
"Chausiku usilie unapaswa kujikaza na ww mjamzito upo ktk atarii punguza hasiraaa jamanii"alitamka jirani yake chausiku aitwae mama loly
"Mama loly mama angu ndiyo nguzo ya maisha yangu mimi, mama kwanini umeondoka mapema umeniacha na nani mimi sina wa kumtegemea mama amka uniambie nn kimekusababishia kifooooo mama????"aliuliza chausiku kwa kilio
Adi kila mtu pale msibani alitokwa na machozii hakika msomaji ata ww ungekuwepo lazima chozi likutokee tuachane na hayoo, chausiku alikubari matokeo kuwa atomuona tena mama akeee alinyamaza ili ajue utaratibu wa msiba.
"JAMANI WAOMBELEZAJI WENZANGU TUPO APA KTK MSIBA WA MAMA CHAUSIKU AMBAE NI JIRANI YETU ANA NGUDU YUPO MTOTO WAKE TUPO NAE APA KWA MAOMBOLEZO KWAIYO KESHO NDO TUKAMPUMZISHE MAREHEHEMU KTK NYUMBA YAKE YA MILELE NAZANI MMENIELEWA, "
********
Hatimae mama chausiku alipumzishwa ktk nyumba yake ya milele chausiku alikuwa bado anamkumbuka mama akee "DAAAH MAMA INAMAANA SITOKUONA TENA"alitamka chausiku kwa huzuni.
********Baada ya mienzi minne***
Hatimae chausiku aliishi pekee yake uku ujauzito wake ukisonga mbele alibakiza siku mbiri ajifungue alikuwa akifanya biashara shuleni alikuwa anauza uji wa mchele kila siku anapata elfu tatu hakika chausiku aliifurahia ile biashara kwa kumuingizia kipato kuzurii "EEEE MUNGU NAOMBA NISONGE MBELEE AMEEN"yalikuwa ni maombezi ya chausiku alikuwa kashamaliza biashala yake ilikuwa saa sita na nusu mchana alikuwa akielekea nyumbani aliamua kupitia sokoni akanunue chenga kwa ajiri ya uji kwa kesho alifika alistuka kumuona tajiri mzee alinani aliempa mimba "MUNGU WANGU YULE SI MZEE ALINANI???!!!"aliuliza chausiku kwa mshangao chausiku alimuangaria mzee alinani ambae amepoteza furaha yake ya kusoma
Mzee alinani alikuwa anakuja kuangaria bishala zake pale sokoni kwa kina chausiku.
Mzee alinani alistuka kumuona chausiku alikwepesha macho yake kwa aibu alitoka kwenye soko lile, chausiku alimpitia denge mzee alinani walikutana macho kwa macho
"MPUMBAVU MKUBWA WEE UNATA KUNIKIMBIA ILI IWEJEE?? ANALIA HII MIMBA YAKO MTOTO AKIZALIWA NAMPELEKEA MKE WAKO PALE SHEEZI WEEE UNAJUA KUJAZA MIMBA VITOTO VIDOGO SAWA NA WAJUKUU ZAKOO SASA SIKILIZA NIKIJIFUNGUA TUU NAMLETA MTOTO KWA MKE WAKOO,"alizungumza chausiku kwa ukalii
"HAPANA CHAUSIKU USIFANYEE HIVYOO SEMA CHOCHOTE UNACHOTAKA ILI MKE WANGU ASIJUE????"aliuliza mzee alinani kwa uwogaa
"HAHAHAHA, NIPE MILIONI MOJA ILI NISIFIKISHEE HII SIRI"alitamka chausikuu kwa kejerii
"DAAH MILIONI MOJA SINA CHUKUA HIZI RAKI TANO MWAYA NITAKUMALIZIA TANO"alitamka mzee alinani uku akizitoa izo laki tano na kumpatia chausikuu
Chausiku alizipokea zile ela "mmmmh kumbe ata laki tano nyingi hahaha"alijisemea chausiku moyoni na kuondoka zakee kumbe chausiku akuwai kuzishika laki tano wala milioni jeee angepewa milioni si angezimia.
Chausiku alifika kwao kwa furaha alipika wali na nyama alikula kisha akandaa mchele wake vizuri, ilipofika usiku chausiku alii
Kwenda kulala alizitoa zile ela alizimwaga mwenye godoro uku akizichezea kwa furaha "mwanangu tumetajirikaa hakika mungu mkubwa"
alitamka chausiku kwa furaha uku akilipapasa tumbo lake, kumbe kuna vibaka walikuwa wanamchungulia chausiku ndani alivyokuwa anachezea zile ela.
Chausiku alivyotosheka kuchezea zile ela akaziweka kwenye mfuka wa naironi kisha akaziweka kwenye begi lake la shangazi kaja, kisha akalala usingizii
Wale vijana walivyoona kumetulia waliusukumiza mlango wa wakina chausiku mlango ulikuwa wa makutii waliingia ndani kwa urahisi.
*******Itaendelea*********
jee nn kitaendelea wale vijana watafanikiwa kuiba au
*WHATSAPP 0713882166 KUJIUNGA GROUP*
No comments
Post a Comment